Details
Description
Nina shule ya ekari 2 liko Matosa, Goba. Linafaa sana kwa shule. Lina madarasa 4, Nyumba ifaayo office, Jiko, Michezo ya watoto, Swimming Pool. Inahitaji mpangaji kama una ndoto za kumiliki shule Anza na hii Kwa kukodi mbeleni unaweza kupata yako au kumvua mwenyewe Pia mnaweza kuelewana kuhusu percentage share yeye hahusiki na management yoyote atapokea mlichokubaliana tu Njoo na mpango kazi mezani nikukabidhi shule hii inbox pls 1.7mil per month kwa eneo lote pamoja na madarasa yaliyopo. Ujue kuna incomes mbalimbali out of: 1.Mradi wa kuuza Maji 2.Swimming Pool kwenye skukuu Kwa watoto 3.Mabembea 4.Garden kwa Sherehe mbalimbali 5.Madarasa ya Daycare and Nursery Service charge tsh 30000