Details
Description
Hili ni eneo la Biashara ya PUB na LODGE (Nyumba ya kualala Wageni) hapohapo. INAUZWA KAMA ILIVYO. Eneo TOANGOMA KIGAMBONI. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400. Umiliki ni HATI ( Title Deed) ya Wizara. Lodge ina vyumba vya kulala 12. Sehemu nzuri ya Biashara. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuikagua gharama yake ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe Mnunuzi) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________mpg Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.