Details
Description
Tangazo nyumba hihapa inauzwa ina vyumba vitatu vya kulala ina master ina sittngi room ina dainngi room ina jiko ina store ina parkingi ya gar ina maji ipo dar es salaam wilaya temeke jimbo la mbagala manispa ya temeke kata chamazi mta dovya kwa mapemba kumbuka maisha ni nyumba