12.04.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa ipo mbagala chamazi

TZS 48 000 000

Details

Price per square unit
yes

Description

Tanagazo mdau wangu wanguvu nyumba hihapa ya kisasa inauzwa ipo jijin dar es salaam wilaya temeke jimbo la mbagala manisapa ya ye temeke kata chamazi mta dovya ina room tatu ina sittingi room dainingi room jiko stor umeme maji master kwa maelezo zaidi nipigie cm au nichek wsp

AbdallahHakweya1

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam