Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa ipo mbagala chamazi
TZS 25 000 000
Details
Price per square unit
yes
Description
Tangazo nyumba inauzwa ipo dar es salaam wilaya temeke jimbo la mbagala manispa ya temeke kata chamazi mta mkondogwa ina room tatu master jiko maji umeme ina sittingi room ina dainingi room ipo vizur sana