Details
Description
Tangazo nyumba ya kisasa yenye nyumba vinne vya kulala ina sittingi room ina dainingi room ina jiko ina stor ina maji na umeme ina master ipo dar es salaam wilaya temeke jimbo la mbagala manispa ya temeke kata chamazi mta msufini piga cm kwa maelezo zaidi au njoo wsp