12.04.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa ipo mbagala chamazi

TZS 70 000 000

Details

Price per square unit
yes

Description

Tangazo mdau wangu wanguvu nyumba hihapa mpya kabisa ya kishuwa ina room nne ina master ina sittingi room ina dainingi room ina jiko na stor maji umeme ipo dar es salaam wilaya temeke jimbo la mbagala manispa ya temeke kata chamazi mta mkondogwa kwa maelezo zaidi nipigie cm ua njoo wsp

AbdallahHakweya1

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam