Details
Description
Tangazo mdau wangu nyumba hihapa inauzwa ipo dar es salaam wilaya temeke jimbo la mbagala manispa ya temeke kata chamazi mta vigoa kwa mipango ina vyumba vinne ina sittingi room ina dainngi room ina jiko ina store ina maji ina umeme ina eneo kwajiri ya kujenga fensi piga cm kwa maelezo zaidi mdau wangu wanguvu