Details
Description
Tangazo nyumba hihapa inauzwa ipo jijin dar es salaam wilaya temeke jimbo la mbagala manispa ya temeke kata chamazi mta dovya kwa mapemba ina room tatu ina sittingi room ina dainingi room ina jiko na stor ina master kwa maelezo zaidi kuhusu nyumba hihapa nipigie cm au njoo moja kwa moja wsp