12.04.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba hihapa ya vyumba saba ina uzwa ipo mbagala chamazi

TZS 48 000 000

Details

Price per square unit
yes

Description

Tangazo nyumbahi inauzwa kwa bei poa kabisa ipo na vyumba saba na sittingi room master jiko stor maji umeme ipo jijin dar es salaam wilaya temeke jimbo la mbagala manispa ya temeke kata chamazi mta dovya kwa mapemba kwa maelezo zaidi kuhusu hinyumba nipigie cm au njoo moja kwa moja wsp

AbdallahHakweya1

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam