21.02.2021Tanzania, Dar Es Salaam
Details
Description
Tangazo nyumba hihapa inauzwa mdau wangu ina vyumba vitatu ina master ina sittingi room ina dainngi room ina jiko ina store ina pabrki ina pakingi ya gar maji umeme ipo katika mazingira mazuri sana mdau wangu
Chat with AbdallahHakweya1
Call AbdallahHakweya1