Details
Description
• Mahali: Dodoma Msalato • Ukubwa wa eneo: sqm 3,000 • Nyaraka: Hati na vibali vyote • Bei: TZS milioni 850 . √ Inatoa huduma √ Ina pampu 1 ya diseli na pampu 2 za petroli √ ujazo wa tenki ni lita 30,500 diesel na 30,500 petrol √ standby power generator 42KV √ Ina jengo la ofisi la ghorofa 1 √ ina sakafu ya zege √ Ipo barabara kuu ya lami yenye pilika za magari za kutosha √ Haidaiwi