Details
Description
Hapa kuna Maduka na Maofisi. Jengo jipya la kisasa. Eneo ni MAKUMBUSHO jirani na MWANAYAMALA. Ukubwa unaanzia SQM.25. Parking ipo. ________ ANGALIZO Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja. Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI.) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________Ab