Details
Description
SIFA. Vyumba 9 vyote self contained, maji, umeme, parking, store, jiko, fence, choo cha nje vipo. kisima kikubwa cha maji, vyumba vyote vina vitanda na mito, square meters 400, Ina mkataba wa mauziano, nyumba Ina furniture zote muhimu. Bei 250,000,000 Milioni. đ/WhatsApp 0758218269 Website: www.ishai.co.tz Ishai Real Estate Simu yako dalali wako.