Details
Description
Hili ni Jengo lililokuwa linatumika kwa Shughuli za kutoa huduma za Matibabu ( ZAHANATI BINAFSI) Lipo umbali wa kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Morogoro, pale LUGURUNI. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,030. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Eneo lipo kimkakati. Huduma za Umeme na Maji zipo. Upo uwezekano wa kutanua zaidi kama kuongeza Majengo nk. _____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) ____mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.