Details
Description
Hoteli yenye vyumba 17 kati ya hivyo 13 vina vyoo ndani. Ina Bwawa la Kuogelea, Bustani ya Maua na Egesho la Magari kubwa. Kiwanja kina ukubwa wa Ekari 3. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________zw Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.