Details
Description
Hii ni nyumba ya Biashara ya Kulala Wageni (LODGE) Ipo umbali wa mita 300 tu kutoka Barabara ya Morogoro., MBEZI KWA MSUGULI. Ina jumla ya vyumba 10 vya kulala ambapo kila kimoja kina Choo chake ndani. Ndani ya Fensi kwa usalama. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.