Details
Description
Hili ni eneo lililokaa kimkakati wa KIBIASHARA. Kuna Frem/Maduka 7 ambayo yanahitaji umaliziaji ujenzi (Mawili yamekamilika) Kiwanja kina ukubwa wa SQM.3,500 na KIMEPIMWA (Hati bado kutoka) Unaweza kuongeza Maduka na pia ukajenga Jengo la Biashara kama Hotel, Lodge nk. Eneo limechangamka. uUkiwekeza vizuri hitajutia. Ni kilomita 2 tu kutoka KKMARA TEMBONI/Morogoro road. ___ ANGALIZO: Malipo ya Dalali 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) ___mpg Kukagua taarifa mapema pse