Details
Description
NI KIWANDA CHA ALIZETI KINAUZWA DODOMA; KINAFANYA KAZI NA KINAENDELEA NA UZALISHAJI MPAKA SASA; Machine ni Complete inasaga mafuta tani 19 kwa siku yaani ndani ya masaa 24. Refinary Iko complete yaani kuna Refinary, Bleaching machine pamoja na Deodorization . Pia kuna Fortification unit. Filtration zipo zote mbili Hydrauric pamoja na Screw. Machine ni za mwaka 2018, Imported. Dodoma, Tanzania.