Eneo linauzwa na Mahakama lipo Kibaha picha ya ndege
TZS 29 000 000
Details
Price per square unit
no
Description
Eneo hili linauzwa na mahakama lipo kibaha picha ya ndege, ni mita 300 tu kutoka morogoro road, eneo lake ni sqm 2096 documents Hati ya serikali za mtaa, ndani ya eneo Kuna madarasa na nyumba ya kuishi