01.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Bagamoyo mataya

TZS 8 000

Details

Price per square unit
yes
Terms
yearly-in-advance

Description

VIWANJA ! VIWANJA! Bagamoyo mataya Miliki kiwanja cha mita za mraba kuanzia 850 mpka 1000 ✍️Bei 8000 cash kwa mita mraba 1 ✍️Bei 10000 kwa mita mraba 1 ndani ya miezi 3 ✍️ Bei 12000 kwa mita mraba 1 ndani ya miezi 6 ✍️BEI 14000 kwa mita mraba 1 ndani ya miezi 12 ✍️Bei 16000 kwa mita mraba 1 ndani ya miezi 18 ✍️ Bei 20000 kwa mita mraba 1 ndani ya miezi 24 UNAWEZA KULIPIA KIDOGO KIDOGO MIEZI 18 ✅Km 3 barabara kuu ✅umeme na maji vipo karibu na site ✅Viwanja vimepimwa vina hati ✅Barabara nzuri mpaka ✅Makazi yapo mpaka site PIA TUNA VIWANJA ✅Kigamboni mbutu beach ✅Kigamboni buyuni ✅ Kigamboni cheka 8 ✅Bagamoyo kerege ✅Bagamoyo ukuni ✅ Bagamoyo mataya 2 ✅ Bagamoyo makurunge SIKU YA KUTEMBELEA VIWANJA VYETU NI ✅JUMATANO ✅JUMAMOSI ✅JUMAPILI OFISI ZETU ZIPO MAKUMBUSHO JENGO LA DERM PLAZA 1 sqm 8000 cash Installment (kidogo kidgo) 15000 Miguu 20 Kwa 40 (800 sqm) unalipia 1000,000 Kila mwezi Kwa miez 12

Shangwe

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam