29.04.2023Dar es Salaam

WIRELESS INTERCOM

TZS 250 000

Description

SIFA ZAKE NI Technology ya mawasiliano rahisi sana isiyotumia gharama yoyote ile baada ya kununua ni kupiga SIMU (1) Haihitaji Vocha wala line (2) Ni matumizi ya bure (3) Ni wireless huitaji kutindua ukuta wala kuunganisha waya (4)Inakamata Mita 1000 yani Km 1 open space (5) Inakamata Ghorofa had I 10 (6) Inafaaa kwa matumizi ya Hospital,Guest ,Lodge,Shule nk (7) Haziitaji Usajiri (8)Haziingiliani namba moja anaweza kumpugia yeyote (9) Haziingiliani na SIMI za kawaida GSM phn 0714083211

Muba C.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam