Condition:
NEW
Description
Tunauza mashine ya kuangulia vifaranga. Sifa . ✓Inabeba mayai 56. ✓Inatumia solar/Betri na umeme. ✓Inaangua vifaranga wa kuku/Bata/Kanga. ✓Inapima yai lenye mbegu. ✓Inaangua kwa 98% •Nirahisi kuitumia •Inatumia umeme kidogo [5000 kwa siku 21] •Inadumu muda mrefu Bei 300.000/=Tsh (Ofa ya week) Tupo dar es salaam (Tegeta) Tuna mawakala mikoani kote TUNASAFIRISHA MIKOANI KOTE.