Details
Description
Toyota wish gari kali sana haina tatizo lolote lile wala changamoto yoyote ile gari full Ac full document engine safi gearbox safi gari inauzwa million 12.5 yani gari ni mpya kabisa ya kufugwa ndani tu maongezi yapo kwenye gari njoo na fundi wako kabisa kujiridhisha gari unawasha na kuondoka safari popote gari inafika