Details
Description
Gari aina ya Toyota Rav 4 New Model inauzwa. Ipo katika hali nzuri. Tairi ni mpya, sport tims, CD changer. Haijawahi kurudiwa rangi, haijawahi kufunguliwa engine na ni nzuri kwa familia au biashara. ID Doto mush Make -Toyota Model -Rav 4 New Model Year -2019 Doors -5 Seats -5 Winkler side mirrors 4 new original tyres Automatic gear Transmission Number 0f Airbags -2 Fuel -Petrol Color -Mettalic silver color Warranty: -No New: -No Nunua magari mazuri na kwa bei nafuu kutoka Br Buy and Sale. Kwa mawasiliano zaidi: tembelea https://brbuyandsell.co.tz Tupo Amverton Office Park,Upanga mtaa wa Lugalo & Magore Dar es salaam