Details
Description
Gari iko MASWA - Simiyu. Iko katika hali na ni kuwasha na kuingia mtaani kula misere. Tairi zote mpya + Spare tyre. Inafaa kwenye Kwa safari za rough roads na ni mwendo mdundo kwenye barabara za lami. Price is negotiable if interested. Call Me 0612 979 281 or 0674 834 028