CategoriesVehiclesCars

05.02.2022Tanzania

Toyota IST model 2003 (DUH)

TZS 11 700 000

Description

TOYOTA IST MWAKA 2003 CC1290 2NZ VVTI ENGINE Inatumia Petrol ni Automatic Gear,2WD,imekuja na Kilometa 82k na sasa imefikisha 100k(ORIGINAL) Haijatumika sana Tz.Ina Rimsports Size 15 na tairi zote nne Mpya,Pia ina Bima Kubwa(Comprehensive Insurance),AndroidRadio,Reverse Camera.Vifaa kama Spare Tyre,Jack,Triangle,Fire Extinguisher vipo.Iko fully Serviced kufika Popote. *Bei yake ni 11.7m.*

Jacksonkalinga

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location