Description
TOYOTA RAUM Mwaka wa matengenezo 2006 | 84,111km| 1490cc | Automatic | Petrol | 5 seaters | sport rims| Reverse Camera| Gari ipo katika hali nzuri sana (mpya) Bei yake ikiwemo Pamoja na Transfer ni TZS 13,000,000/= Gari ipo Dar es salaam -Tabata Kama Utaihitaji au utataka kupata taarifa zaidi , wasiliana nami Simu/Ujumbe mfupi/whatsapp 0689265275 OR 0652233353