08.01.2023Dar es Salaam
Description
Baby swing inauzwa, bado iko vizuri (kama mpya) inafaa sana kwa kubembeleza mtoto. Ina mziki, na inatumia bluetooth pia. Bei ni 150,000. Ipo Dar es salaam Mawasiliano Inbox au WhatsApp/simu 0714499248
Chat with Robin T.