08.10.2025Dar es Salaam

Sigma 150-600mm Canon

TZS 2 500 000

Details

Brand
Canon
Model
sigma

Description

🔹 *LENS: Sigma 150-600mm f/5-6.3 DG OS HSM (For Canon EF)* 📸 *Telephoto lens bora kwa wildlife, sports na bird photography* – zoom kubwa & ubora wa picha! 🔍 Range ya zoom *150-600mm* hukupa uwezo wa kupiga picha kwa umbali mkubwa bila kupoteza sharpness. ✨ Ina *Optical Stabilizer (OS)* kwa utulivu hata ukiwa unatumia kwa mkono. 🎯 *Hyper Sonic Motor (HSM)* kwa autofocus ya haraka, tulivu & sahihi. ⚙️ Imetengenezwa kwa body imara – inafaa kwa mazingira ya nje. ✅ 2,500,000 0782791043

Rajabu S.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam