Details
Description
haina shida yoyote ipo na box lake full na vitu vyake vyote,inashoot 4k,KM 4 range distance,inakaa na chaj dk 30 hewani,battery mbili pamoja na memory card ya 4k 64 GB MBS 170 speed,!nipo tabata,kwa ufupi iko full box,bei kama unavyoona hapo laki tano tu!!