18.11.2023Iringa

Nikon Coolpix B500

TZS 390 000

Details

Brand
Nikon
Model
Coolpix B500
Screen size
3 Inches

Description

Kamera ni nzuri na hauna tatizo lolote. Ina WiFi, NFS na Bluetooth. Inaweza kupiga picha na kurekokodi video za HD 1080, lens na flash yake ni compact siyo ya kutoa na kuweka, zoom yake ni x40, inaweza kupiga mpaka picha 600 bila kuisha moto na betri zake ni AA. . Ni used, ukinunua utapewa charger ya betri, hautapewa cadi yake, unaweza kutumia kadi yako. Kwa undani wa kamera hii unaweza kusearch Google Nikon Coolpix B500. Iko sawa kila kitu. . Karibuni, niko Iringa mjini mtaa wa Retco 0716116154

User

Location

Iringa