Details
Description
Canon 100D kwa jina lingine ni Canon rebel sl1🚨. Camera ni kali sana kuzidi canon 700D. ina lens ya 18-55mm, card 8gb, betri mpya, charger na mkanda. Camera Ni Touch Screen 🥰✔️ Naiuza kwa 750,000 tu na namba yangu ni 0782791043. KARIBU BOSS.