Description
Kgm Real Estate tunakuletea mradi wa viwanja eneo la Kibaha Pangani. Ni km 1 kutoka NIDA na stend ya mabasi mpya na ni meter 900 kutoka barabara ya Lami Tamco _Mapinga Viwanja vimepimwa na vinahati miliki kabisa Vimebaki viwanja vinne vinaanzia ukubwa wa sqmter 3317, 3445, 3923 na 5640 vinafaa kwa Taasisi, makazi,biashara, shule, housing estate, yard, godown e.t.c huduma zote za kijamii zipo kwenye mradi ni eneo lilopangiliwa vizuri Bei kwa SQMTER 1= 15000 tsh Piga simu 0713909842