Description
▪︎KINAUZWA NA MMILIKI ▪︎MAELEZO YOTE MUHIMU YAPO PICHANI ▪︎MAJIRANI WOTE WAMEJENGA NA KUHAMIA ▪︎UMEME | MAJI | BARABARA SAFI MPAKA SITE ▪︎MAONGEZI YAPO ▪︎ENEO NI TAMBARALE ▪︎LIMEPAKANA NA LIFEWAYLIGHT ENGLISH MEDIUM SCHOOL NB: PICHA YA MWISHO NI LAMI INAYOFIKA SHULENI