10.09.2022Geita

Rich dad poor dad

TZS 5 000

Description

Rich Dad poor Dad ni kitabu ambacho kimeleta mabadiliko makubwa hususani kwenye ulimwengu wa fedha ni kimebadilisha maelfu ya watu duniani, kutoka kwa Robert kiyosaki ambae ana sema asset ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni na deni ni kitu chochote kinacho kuondolea pesa mfukoni na pia amelezea jinsi gani watu walio soma wengi ni maskini na ambao hawana elimu kubwa ni matajiri, Kitabu hiki kiko katika English version utakipata katika pdf form piga/sms/Whatsapp 0748347403

Rabison v.

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Geita