Details
Description
Jipatie pikipiki za TVs 125cc kwa bei ya punguzo ujipatie usajili na bima ndogo ya mwaka Bure kabisa, warranty ya engine kwa mwaka au km 30000, helmets 2 pamoja na reflector. Pikipiki zetu zinatumia mafuta kidogo sana zina nguvu zaidi na zinatembea kilomita nyingi, karibu uongeze nasi kipato chako. Tunapatikana kariakoo mtaa wa udoe na sikukuu