Details
Description
Jipatie pikipiki za tvs xl 100 kwa bei poa, ni nzuri Kwa matumizi binafsi katika mizunguko ya hapa na pale pia katika delivery services na kadhalika, ina muonekano wa kijanja hutojuta kuwa nayo. Tupo kariakoo mtaa wa udoe na sikukuu opposite na Salim Lubricants duka letu linaitwa VN EXIM.