Details
Description
Pikipiki mpya TVS 150HLX yenye muonekano wa kishua kabisa zinapatikana kwetu kwa bei bomba, usisubir kupitwa haina kelele , joto wala mtetemo ni murua kabisa. Ununuapo Tvs 150 gia tano utajipatia bima ndogo ya mwaka, warranty ya engine kwa mwaka mzima, helmet mbili, reflector pamoja na matengenezo matatu kwa mwaka bure kabisa. Na bei ni very affordable.