Details
Description
TVS HLX 125 KALII SANAA..SH. MIL 1.250 . . *KARIBU OFISINI KWETU UJIPATIE PIKIPIKI KWA BEI NAFUU SANAA* Tunauza Na Kununua PikiPiki Used Aina Zote kama Tvs,BOXER,Fekon, HAUJAE nk. Bei Zetu ni Rafiki Sanaa ,Kuanzia sh. LAKI 7 TU na Kuendelea UNAJIPATIA PIKIPIKI NZURII SANAA . Ofisi Zetu Zipo Mbagala zakhem Karibu na Kituo cha Daladala, Karibu Sanaa Ofisini Kwetu Uchague PIKIPIKI Uipendayo kwani Zipo Nyingi Sanaa na Ujipatie Kilicho bora. Pia Kama Unapikipiki Yako Au Bajaji Unauza (Uwe na Documents zote halali) unaweza Wasiliana nasi Tunanunua Pia.