20.06.2025Dar es Salaam
Details
Description
imetumika miezi minne tu kwa kilomita 2100, inawaka kwa funguo au remote, inachaji kwa masaa 6 na ikiwa full inaenda mpaka kilomita 60, Bei 1,000,000. Wasiliana nami kwa namba 0619006887
Chat with Reuben M.
Call Reuben M.