Details
Description
Pikipiki Ya Kuchaji Ebike Kampuni ya Linkall Inabetri 6 ambazo zinatembea 85Km Bei yake ni 1,650,000/= Pia ukitaka betri ya Lithium ambayo inatembea 150Km nitakupa kwa 2,500,000/= ambayo ni Betri pamoja na Bike…. Betri ina 100Amh Bike ipo Kariakoo Mtaa wa Sikukuu na Uhuru Imenyooka sana Imetumika Miezi 5 tu 0743099576