Details
Description
Ina warranty miaka 3 years Usafiri ni bure mpaka mlangoni kwako Malipo yanafanyika baada ya mzigo wako kufika nyumbani Mkoani tunatuma pia kwa uaminifu mkubwa sana au kama una ndugu jamaa rafiki yako aliyeko dar es salaam anaweza kufika dukani kwetu kwa uaminifu zaidi