Details
Description
Linda fridge yako isiungue tena Linda Tv yako isiungue tena Huitaji stablaizer tena Hapa ulinzi kamili ndani Huitaji kuzima switch umeme unapokatika Huzuwia short ya umeme inapotokea Huzuwia umeme mkali kuingia Hubalance umeme mdogo kuingia Husaidia sana katika kuhakikisha kifaa chako kinadumu