Condition:
NEW
Description
Subwoofer nimpya zinauzwa kwa bei ya ofa na delivery ni uhakika popote ndani ya nchi ya Tanzania, subwoofer inasauti kubwa na mdundo mkubwa, aina ya subwoofer ni Aboder Package ina vitu vifuatavyo 1.speaker 2 2.speaker holder 3.Aux wire 4.limot + warrant ya mwaka mmoja