01.09.2022Dar es Salaam

Mr Uk radio speaker 3

TZS 280 000

Description

Ina warranty mwaka 1 Inatumia Bluetooth, Flash, Memory card, Fm radio Usafiri ni bure mpaka nyumbani kwako ndiyo ulipie mzigo wako ukifika kwa wakazi wa dar es salaam Pia kama utataka kufika dukani kwetu tupo kariakoo mtaa wa Agrey na Ndanda karibu na jengo la China plaza

Ayo E.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam