Details
Description
TAARIFA ZA MRADI.* 👉Mradi upo KM 30 kutokea ferry. 👉Mita 500 kutoka site mpaka Baharini 👉Mita 300 kutoka barabara ya lami 👉 Mradi ushapimwa na kuchongwa Barabara. 👉Mradi ni tambarare. 👉Huduma za kijamii zote zinapatikana 👉Mradi upo karibu na makazi ya watu. *BEI ZAKE.* 👉Mita moja ya mraba ni 20,000 kwa malipo ya cash. 👉Mita moja ya mraba ni 25,000 kwa malipo ya awamu mpaka miezi kumi na nane (18) unaanza na asilimia 20 (20%).