Details
Description
Ina warranty miaka 3 years Malipo yanafanyika baada ya mzigo wako kufika nyumbani kwako Usafiri ni bure mpaka mlangoni kwako kwa mkazi wa dar es salaam pia tunatuma mkoani kwa uaminifu mkubwa sana au kama una ndugu jamaa rafiki yako aliyeko dar es salaam anaweza kufika dukani kwetu kwa uaminifu zaidi