13.09.2021Tanzania

DStv-Tumesalia Na Nafasi Chache Sana Za Ofa Ya Kupata King'amuzi Kwa Sh 59000

TZS 59 000 000 000

Description

Habari ikufikie kuwa baada ya kuhitimisha msimu rasmi wa ofa ya kupata king'amuzi cha DStv kwa Sh 59000 badala ya Sh 99000, tumeongeza nafasi chache baada ya baadhi yenu kulalamika juu ya muda mchache wa ofa. Sasa tumetenga nafasi chache pekee kabla ya kurudi kwenye bei ya awali na tuna imani wewe unaesoma ni mmoja wa watakaoitendea haki kama sio kununua basi kumpa taarifa ambae atanunua. Baada ya nafasi hizi kuisha kutakuwa tena hakuna nafasi nyingine zaidi ya kununua kwa bei ya kawaida. Wahi sasa piga 0713748763 au 0683977897 na tutakuletea mpaka kwako popote Dsm na kukufungia dish kwa Sh 20000 & ofa ya mwezi mzima bure.

Hussein S.

Member since 2016.
xxx xxx xxx xxx

User

Location