29.05.2023Kilimanjaro

Android Tv Box

TZS 85 000

Details

Brand
Technics
RAM
3 GB

Description

Android Tv Box Ina uwezo wa kuifanya TV yako kuingia internet hata kama ni chogo ila nzuri Zaidi FLAT,. Ina 4GB, IPO speed ku download chochote pia Ina matundu ma 4 ya Kuweka USB na Moja Kuweka memory card, Haina tatizo lolote! unaweza kudownload mafaili na kuifanya TV yako kuwa SMART TV

Ibrahim M.

Member since 2023.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Kilimanjaro